Library Catalog

Vangavanga mpiga hadithi/

Alli, Mcharazo

Vangavanga mpiga hadithi/ Alli Mcharazo. - 26 pages : color illustrations ; 22 cm. - Utamu Kolea...5H .

Vangavanga, mzee mwenyewe mvi tele kichwani anasifika kote kijijini. Hadithi zake za kusisimua ni burudani tosha kwa kila mtu; watoto kwa wasasi wasakavyo windo lao. Naye kwa unyenyekevu wake anaitikia mwito wa waja na punde si punde, nyota yake inangara zaidi mjini, vijijini, barazani, barabarani, darasani na maktabani.Kweli jina njema hung'aa hata gizani.

9789987210767


Kiswahili Readers(elementary)

496.396286 ALL

© 2025, Kenya National Library Service | Designed & Maintained by Uvumbuzi Center