Library Catalog

Muundo wa kiswahili : ngazi na vipengele /

Obuchi, Samuel M.

Muundo wa kiswahili : ngazi na vipengele / Samuel M. Obuchi na Ayub Mukhwana - xvi, 247 pages : illustrations, 23 cm

Includes bibliographical references

Kitabu hiki kinafafanua kwa uketo, muundo wa Kiswahili kwa kuziangazia dhana za fonetiki (sarufi matamshi), fonolojia (ruwaza za sauti), mofolojia (sarufi maumbo) sintaksia (sarufi miundo), semantiki (sarufi maana na vipengele vinginevyo vinavyoutawala muundo wa lugha kwa ujumla. kitabu kinatoa maelezo ya kina kuhusu taaluma ya isimu, umuhimu wake na namna vipengele vya lugha huhusiana na kukamilishana. Kitabu hiki, basi, ni nguzo na rejea muhimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu, vyuo vya ualimu na wale wa shule za upili. Kitawafaa pia walimu wa Kiswahili na wapenzi wa Kiswahili.

9789966510303


Kiswahili -- Study and teaching

496.3925 OBU

© 2025, Kenya National Library Service | Designed & Maintained by Uvumbuzi Center