Library Catalog

Taswira ya KCPE Kiswahili/

Wallah Bin Wallah

Taswira ya KCPE Kiswahili/ Wallah Bin Wallah. - xvi, 334 pages : color illustrations ; 26 cm - Taswira ya KCPE. .

Taswira ya KCPE Kiswahili ndicho kitabu mufti kinacholenga barabara maandalizi halisi ya mwanafunzi anyenia na kuwania kufunzu katika mtihani wa kiswahili kiwango chochote,hususan darasa la nane (KCPE) nchini Kenya au darasa la saba nchini Tanzania bila hatihati. Ni Kitabu kilichotungwa na kusawirika kitaalam kutokana na utafiti wa kina unaozingatia nguzo kuu tano za silabasi mpya.
1.Kusikiliza na kuongea.
2.Kusoma.
3.Kandka.
4.Sarufi.
5.Msamiati.

9789966002655


Teaching Primary swahili.

496 39282076 WAL

© 2025, Kenya National Library Service | Designed & Maintained by Uvumbuzi Center