Library Catalog

Kolonia Santita : Laana ya Panthera Tigrisi /

Maregesi, Enock

Kolonia Santita : Laana ya Panthera Tigrisi / Enock Maregesi. - 1st ed. - xxii, 362 pages : 23 cm

Kolonia Santita ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na dawa za kulevya. inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa na shirika kubwa la dawa za kulevya la Kolonia Santita la Kolombia na Meksiki. Inaelezea, kwa kinaga ubaga, jitihada za pamoja za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14 na kuzuia shehena kubwa ya dawa za kulevya na malighafi ya nyukilia kwenda Africa, Asia, Amerika na Ulaya.

9789966562067


Swahili lugha -- Hadithi, Swahili language -- Fiction.

896.3923 MAR

© 2025, Kenya National Library Service | Designed & Maintained by Uvumbuzi Center