Library Catalog

Siku ya Wajinga /

Momanyi, Clara

Siku ya Wajinga / Clara Momanyi - 58 pages : illustrations ; 19 cm - Hadithi za Kikwetu .

Zito anausifu ujinga, darasani imekuwa ni kushikilia mkia kila kunapofanywa mtihani. Lakini siku ya kupata funzo kuwa ujinga haulipi imo njiani.

9789966472397


Swahili literature

896.3923 MOM

© 2025, Kenya National Library Service | Designed & Maintained by Uvumbuzi Center