Library Catalog

Mto usio na chura /

Nyambura Mpeasha

Mto usio na chura / Nyambura Mpesha - 46 pages : colour illustrations ; 18 cm - Hadithi za kikwetu. .

Wamuyu ni msichana aliyeokolewa na chura asiliwe na mazimwi. Kutokana na hilo, marafiki zake wanamtania, "chura alisema atakuja kukuoa". Kutokana na utani huo, Wamuyu anawachukia vyura wote. Wamuyu anafunga safari ya kuteka maji katika mto usio na vyura. Je, mto usio na vyura upo? Soma hadithi hii upate ukweli wake.

9789966478481


Children's stories, Kenyan (Swahili)

896.3923 NYA

© 2025, Kenya National Library Service | Designed & Maintained by Uvumbuzi Center