Library Catalog

Nyota ya mwanafunzi : Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya Sita /

Nganje, Dorothy K.

Nyota ya mwanafunzi : Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya Sita / Dorothy K. Nganje. - ix, 153 pages : colour illustrations ; 25 cm. - Mtalaa unaozingatia umlisi. .

Kitabu hiki kimedhamiriwa kutumika kama mfululizo wa vitabu vya kiada kwa gredi ya sita. Kimeandikwa kuambatana na mtalaa mpya. Kimelenga kumwongoza mwanafunzi katika masomo yake ya lugha ya kiswahili kwa kutumiza maarubu ya mtalaa wa kiwango husika.

9789966512116


Swahili lugha.

496.392800202 NGA

© 2025, Kenya National Library Service | Designed & Maintained by Uvumbuzi Center