Library Catalog

Kurunzi ya Kiswahili : kitabu cha mwalimu gredi ya tano /

Matei, Assumpta

Kurunzi ya Kiswahili : kitabu cha mwalimu gredi ya tano / Assumpta Matei, Joseph Mwamburi, Francis Wangome and Francis Atulo - xvii, 228 pages ; 26 cm

Kitabu hiki cha mwalimu kimeandikwa kwa ustadi ili kumwezesha mwalimu kumudu mtaala unaolenga umilisi kwa mwanafunzi. Kinatoa mwongozo kwa mwalimu awe na weledi anapomsaidia mwanafunzi kuujenga umilisi wa stadi za Kiswahili zikiwemo kusoma, kuandika,kusikiliza na kuzungumza, msamiati na sarufi.

9789966572462


Swahili language -- Study and teaching(primary)

496.392820202 MAT

© 2025, Kenya National Library Service | Designed & Maintained by Uvumbuzi Center