Library Catalog

Chura na mjusi /

Mpesha, Nyambura

Chura na mjusi / Nyambura Mpesha. - 18 pages : color illustrations ; 18 cm. - Hadithi za kikwetu. .

Kitabu hiki kinasimulia hadithi ya chura na rafiki yake wanao tayarisha karamu kwa marafiki wao. Lakini tamaa yake chura yapita mipaka. Anajaribu hila ila aile minofu yote, lakini kitendo hiki kinaishia kumtia kwenye hatari.

9789966471338


Swahili-Fiction

496.39203 MPE

© 2025, Kenya National Library Service | Designed & Maintained by Uvumbuzi Center