Zani na Zuma mashakani /
Mbatiah, Mwenda
Zani na Zuma mashakani / Mwenda Mbatiah - 48 pages : color illustrations ; 18 cm. - Hadithi za kikwetu. .
Mchezo wa kupata shabaha umepata umaarufu sana katika kijiji cha chaka. Wakati huo huo uwanja wa shule ya msingi ya Chaka umejaa mifugo na wachungaji, wanaokuja kuwalisha mifugo, na pia kucheza mchezo huo. Je mchezo huo utaleta mashaka? Je ni kipi kinachowasukuma vijana kukiuka sheria za msitu? Na je watapata adhabu gani kwa kuvunja sheria za msitu huo? Soma hadithi hi upate uhondo.
9789966479617
Swahili language--Readers.
496.39286 MBA