Library Catalog

Twala wapi leo /

Nzioka, Shullam

Twala wapi leo / Shullam Nzioka - 76 pages : illustrations ; 21 cm - Mradi wa kukuza ubunifu (MKUU) daraja ya awali .

Twala Wapi Leo? ni kisa cha kusisimua cha kiupelelezi. Kisa hiki kinaangazia masuala ya malezi, elimu, ufisadi, ujasiriamali miongoni mwa masuala mengine katika jamii. Kisa hiki kimesheheni mbinu na mitindo mbalimbali ambayo itamfaidi mwanafunzi katika kujenga ubunifu wake na vilevile lugha yake.

9789914442854


Swahili fiction

896.3923 NZI

© 2025, Kenya National Library Service | Designed & Maintained by Uvumbuzi Center