Library Catalog

Majuto ni mjukuu /

Kareithi, P. M.

Majuto ni mjukuu / P. M. Kareithi. - 74 pages : illustrations ; 18 cm. - Hadithi za kikwetu .

Kitabu hiki kimekusanya hadithi kumi kutoka kenya na kwingineko barani Afrika na, kama kawaida ya hadithi za Kiafrika, kila mojawapo ya hadithi hizo ina funzo maalum kwa watoto wetu. Mwandishi ametumia lugha sanifu, ili kurahisisha ufahamu na vilevile kujenga msamiati, bila ya kupinga burudiko la msomaji.

9789966472168


Swahili fiction.

896.39203 KAR

© 2025, Kenya National Library Service | Designed & Maintained by Uvumbuzi Center