Library Catalog

Zengo na Chungu cha Muujiza /

Ng'anzi, Salim Hussein,

Zengo na Chungu cha Muujiza / Salim Hussein Ng'anzi. - ii, 34 pages : color illustrations ; 21 cm. - Tusome kwa furaha. Gredi ya tano, Hadithi za adili. .

Hadithi ya kusisimua kuhusu Zengo, mkulima mwenye bidii ya kazi anayeishi kwa umaskini na wenzake, ambaye siku moja anagundua chungu cha ajabu chenye muujiza shambani mwake. Hali hii inamvutia mfalme mlafi anayetaka kumnyang'anya chungu hicho kwa nguvu. Kitabu hiki kimeandaliwa kwa ajili ya kufundishia lugha ya Kiswahili katika mtaala wa CBC.

9789914540925


Swahili language--Study and teaching (Elementary).

496.39282076 NGA

© 2025, Kenya National Library Service | Designed & Maintained by Uvumbuzi Center