Naibu /

Muthamia Andy ,Ndereba

Naibu / Ndereba Andy Muthamia - 76 pages ; 18 cm. - Storymoja ; A book in every hand .

Nairese anatekwa na wanaume wawili kutoka msituni na kupelekwa katika msitu hatari wa Kaithe. Anakumbana na changamoto nyingi anapojitahidi kujinasua kutokana na hatari ya kuozwa akiwa na umri mdogo na kutimiza ndoto yake ya kuwa mtu mashuhuri katika jamii yake. Kitabu hiki kinaangazia ujasiri, uvumilivu, changamoto za ndoa za utotoni na umuhimu wa kupigania ndoto za maisha

9789914469295


Utekaji nyara ,
Ujasiri ,
Ndoa za utotoni ,
Wasichana .--Hali ya kijamii.--Hadithi za kubuni.