Kasuku wa Sofi / Atibu Bakari.
Material type:
- 9789966447654
- 496.39286 ATI
Item type | Current library | Call number | Status | Date due | Barcode | |
---|---|---|---|---|---|---|
![]() |
Cataloguing, Classification and Distribution | 496.39286 ATI (Browse shelf(Opens below)) | Available | B206505 |
Hadithi hii inazungumzia mtoto msichana kwa jina Sofi ambaye alikuwa mwerevu darasani.
Alikuwa na wazazi waliompenda na waliojali elimu yake. Ingawa alikuwa mtoto mzuri,
alikuwa akichelewa kila siku kwenda shuleni.
Ni nini kilimwezesha Sofi kuamka mapema baadaye asichelewe tena shuleni?
There are no comments on this title.
Log in to your account to post a comment.