Library Catalog

Amazon cover image
Image from Amazon.com
Image from Google Jackets
Image from OpenLibrary

Muundo wa kiswahili : ngazi na vipengele / Samuel M. Obuchi na Ayub Mukhwana

By: Contributor(s): Material type: TextTextNairobi : Jomo Kenyatta Foundation, 2015Description: xvi, 247 pages : illustrations, 23 cmISBN:
  • 9789966510303
Subject(s): DDC classification:
  • 496.3925 OBU
Summary: Kitabu hiki kinafafanua kwa uketo, muundo wa Kiswahili kwa kuziangazia dhana za fonetiki (sarufi matamshi), fonolojia (ruwaza za sauti), mofolojia (sarufi maumbo) sintaksia (sarufi miundo), semantiki (sarufi maana na vipengele vinginevyo vinavyoutawala muundo wa lugha kwa ujumla. kitabu kinatoa maelezo ya kina kuhusu taaluma ya isimu, umuhimu wake na namna vipengele vya lugha huhusiana na kukamilishana. Kitabu hiki, basi, ni nguzo na rejea muhimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu, vyuo vya ualimu na wale wa shule za upili. Kitawafaa pia walimu wa Kiswahili na wapenzi wa Kiswahili.
Tags from this library: No tags from this library for this title. Log in to add tags.
Star ratings
    Average rating: 0.0 (0 votes)
Holdings
Item type Current library Call number Status Date due Barcode
Adult Non-Fiction Adult Non-Fiction Cataloguing, Classification and Distribution 496.3925 OBU (Browse shelf(Opens below)) Available B224150
Adult Non-Fiction Adult Non-Fiction Cataloguing, Classification and Distribution 496.3925 OBU (Browse shelf(Opens below)) Available B224271
Adult Non-Fiction Adult Non-Fiction Cataloguing, Classification and Distribution 496.3925 OBU (Browse shelf(Opens below)) Available B224215

Includes bibliographical references

Kitabu hiki kinafafanua kwa uketo, muundo wa Kiswahili kwa kuziangazia dhana za fonetiki (sarufi matamshi), fonolojia (ruwaza za sauti), mofolojia (sarufi maumbo) sintaksia (sarufi miundo), semantiki (sarufi maana na vipengele vinginevyo vinavyoutawala muundo wa lugha kwa ujumla. kitabu kinatoa maelezo ya kina kuhusu taaluma ya isimu, umuhimu wake na namna vipengele vya lugha huhusiana na kukamilishana. Kitabu hiki, basi, ni nguzo na rejea muhimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu, vyuo vya ualimu na wale wa shule za upili. Kitawafaa pia walimu wa Kiswahili na wapenzi wa Kiswahili.

There are no comments on this title.

to post a comment.

© 2025, Kenya National Library Service | Designed & Maintained by Uvumbuzi Center