Library Catalog

Image from Google Jackets
Image from OpenLibrary

Jipe moyo : diwani ya mashairi / (Yamekusanywa na Hamisi Babusa).

Contributor(s): Material type: TextTextSeries: MKUUDescription: 42 pages ; 21 cmISBN:
  • 9789914442908
Subject(s): DDC classification:
  • 896.3921076 JIP
Summary: Jipe Moyo: Diwani ya Mashairi ni diwani ya mashairi iliyokusanywa na Dkt. Hamisi Babusa. Mkusanyiko wa mashairi ya Kiswahili unaoangazia maisha ya jamii, maadili, changamoto na matumaini kupitia sanaa ya ushairi. Mashairi haya yanahusu stadi za maisha, maadili katika jamii, na masuala ibuka yanayowagusa wanafunzi moja kwa moja. Imeandikwa kwa lugha nyepesi na inayoeleweka kwa urahisi ili kuwasaidia wanafunzi kufurahia na kupenda ushairi. Kitabu kinatumia mbinu mbalimbali za kifasihi kama vile tashbihi, sitiari, methali, na nahau kuelimisha wasomaji. Kila shairi lina maswali ya mwongozo yanayomsaidia mwanafunzi kuchambua na kuelewa ujumbe uliokusudiwa.
List(s) this item appears in: KWAMBOKA KNB APRIL 2026
Tags from this library: No tags from this library for this title. Log in to add tags.
Star ratings
    Average rating: 0.0 (0 votes)
Holdings
Item type Current library Collection Call number Copy number Status Notes Date due Barcode
Books Books Preservation, Conservation & Publication Legal Deposit 896.3921076 JIP (Browse shelf(Opens below)) 1 Not for loan Not for loan B233413
Books Books Preservation, Conservation & Publication Legal Deposit 896.3921076 JIP (Browse shelf(Opens below)) 2 Not for loan Not for loan B233412

Collection of Swahili poems.

Jipe Moyo: Diwani ya Mashairi ni diwani ya mashairi iliyokusanywa na Dkt. Hamisi Babusa. Mkusanyiko wa mashairi ya Kiswahili unaoangazia maisha ya jamii, maadili, changamoto na matumaini kupitia sanaa ya ushairi. Mashairi haya yanahusu stadi za maisha, maadili katika jamii, na masuala ibuka yanayowagusa wanafunzi moja kwa moja. Imeandikwa kwa lugha nyepesi na inayoeleweka kwa urahisi ili kuwasaidia wanafunzi kufurahia na kupenda ushairi. Kitabu kinatumia mbinu mbalimbali za kifasihi kama vile tashbihi, sitiari, methali, na nahau kuelimisha wasomaji. Kila shairi lina maswali ya mwongozo yanayomsaidia mwanafunzi kuchambua na kuelewa ujumbe uliokusudiwa.

There are no comments on this title.

to post a comment.

© 2025, Kenya National Library Service | Designed & Maintained by Uvumbuzi Center